Bondia wa zamani mbabe aliyeweka rekodi za nguvu kwenye mchezo wa ngumi, Mike Tyson ameamua tu kutuonesha kwamba kama huwezi kutembelea hoverboard, basi wewe achana nazo tuu hata usijaribu kucheza nazo.
Hii video aliipost Mike Tyson kwenye ukurasa wake Instagram ambapo kuna sauti ya mtoto wa kike inaonekana kama anamuonya hivi kwamba ataanguka, lakini Mike akaendelea zake.. sekunde chache mbele mambo yakaenda kombo !!
Ilikuwa stori yenye uzito wake kiasi cha kwamba TV ya CNN waliiripoti hii.
Post a Comment