Halloween Costume ideas 2015

TAZAMA HAPA PICHA YA MWEZI DISEMBA

  
Anaitwa Daniella Davis Mosha. Ni Mtoto watatu kati ya Watoto watatu wa Familia ya Davis Mosha. Daniella Amezaliwa Jumatano ya Tarehe 03/02/2010.  Daniella ni Mwanafunzi wa Grade ya kwanza katika Shule ya Reader Rabit ya Jijini Dar es Salaam. 

Kutokana na Hitaji kubwa la Madaktari katika hospitali za nchini Tanzania daniella amejikuta akiishi katika ndoto kubwa ya kuwa daktari. Udadisi wake na akili aliyokua nayo amejikuta akihitaji kujua mambo kadhaa kuhusu uongozi na utabibu. Daniella hupenda kukaa na Mama yake ambaye ni mkurugenzi wa Kampuni ya Delina General Enterprisess Pamoja na baba yake ambaye Ndiye Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hizo.  

Huku familia yao ikiwa inamiliki kampuni mbalimbali za biashara Afrika Mashariki na kati na nchi za ulaya na Amerika Daniella amekua na Shauku ya kuwa kiongozi kama Mama yake Madame Nancy Davis Mosha. Shahuku hiyo imempelekea kupenda kuitwa Dr. Director Daniella sababu kuu ni kuona jinsi gani Director anaweza kuongoza kampuni na kupata mafanikio.

Ukipata fursa ya kukutana na Daniella utagundua uwezo wa ziada alio nao. Ni mwenye kuuliza maswali na kupenda kujua yale yaliyo bora. Ukikutana nae ukimuita kwa jina Daniella anaweza asikusikilize ila ukimuita Doctor Director Daniella basi atakusikiliza kwa haraka zaidi.

Hii ndiyo picha yetu ya Mwezi wa Disemba.

Je ungependa kukutana na Dr. Director Daniella na kupataa chakula cha jioni pamoja nae? Share story hii kisha chukua picha hii na weka katika ukurasa wako wa Instagram kisha Tag @africaswahilimedia

















Labels:

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget