Alizaliwa njiti akiwa bado hajatimiza muda wake wa kuzaliwa, Kipaji chake kilivumbuliwa tarehe 14 mwezi Disemba iliilazimu klabu ya
barcelona kuandika mkataba wa haraka wa Lionel Messi. Kwa kuwa Mazingira hayakuruhusu iliwalazimu kuandikiana Mkataba huo katika Tishu, (Napkin). Huyu ndio Messi wa Leo anayeitikisa Dunia katika soka.....,
Lionel Messi wiki hii atafikisha mechi ya 500 akiichezea Barcelona katika La Liga
Messi atafikisha mechi hizo 500 wakati atakaposhuka uwanjani kesho kuingoza Barcelona katika mechi dhidi ya Real Betis.
Mechi hiyo ya 500 itakuwa ni katika La Liga ambayo tayari amedungua mabao 424 na kuwa mmoja wa wachezaji hatari zaidi katika kikosi cha timu hiyo.
Post a Comment