Mwanamuziki Bebe Cool Mwenye Tisheti ya njaro akitumbuiza kabla ya Mkutano kuanza huko Bugiri. (Picha na Ofwono David) |
Huku kampeni za Siasa zikizidi kuchanja mbuga nchini Uganda tayari wanamuziki wa nchi hiyo wameanza kujitokeza na kuungana na wagombea Urais katika kuhamasisha katika Mikutano yao. Leo Msanii wa Muziki wa mwenye heshima nchini humo Bebe Cool aliburudisha wananchi wa Uganda katika Mkutano wa Siasa wa Yoweri Museveni.
Tazama picha Kadhaa za Bebe Cool akitumbuiza katika Mkutano kabla ya Mgombea Urais Kupitia chama cha NRM kuwasili Mkutanoni.
(Picha zote na Ofwono David) |
Post a Comment