Halloween Costume ideas 2015

RONADO AONESHA VIDEO YA MJENGO WAKE..,


Wachezaji soka wa Ulaya ni watu ambao wasiri sana katika maisha yao, kutokana na umaarufu wao mara nyingi wamekuwa wakifuatiliwa kwa kila kitu wanachokifanya, Cristiano Ronaldo staa wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Real Madrid ya Hispania, December 22 kuekea sikukuu ya Chrismass ameonesha mjengo wake kuanzia nje hadi ndani.
 

Kama ulikuwa hujui Ronaldo sehemu muhimu katika nyumba yake ni mahali anapolala kwani ndio anaamini kama mchezaji ili ufanye vizuri ni lazima upate mahali pazuri pakupumzika. Najua umezoea kuona pichaz za mijengo ya mastaa wa soka, ila December 22 Ronaldo katuonesha mjengo wake na kutoa maelezo hadi chumbani anapolala.

Tazama Video hii.
 

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget