Halloween Costume ideas 2015

Entertainment Movie kali za Bongo zilizoingia kwenye Tuzo za AMVCA 2016, ya Lulu nayo ndani..


lulu michael
Ni kitu kizuri sana kukuta sanaa ya Tanzania inatoboa na kugusa headlines nje ya mipaka ya Tanzania, kama vile ambavyo tumeona Tuzo kadhaa za muziki zikiletwa TZ na mastaa wetu kutoka nje ya mipaka, basi nikusogezee na hii list ya mastaa ambao wamefanikiwa kuwa sehemu ya walioingia kwenye category za Africa Magic Viewers’ Choice Awards (AMVCAs).
Kwenye list ya Watanzania wako na hawa:
1: Staford Kihore (Movie ya Mpango Mbaya)
2: Josephat Lukaza (Movie ya Kitendawili)
3: Elizabeth Michael ‘Lulu’ (Movie ya Mapenzi ya MUNGU)
4: Amil Shivji (Movie ya Samaki Mchangani)

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget