Mgombea urais Kwa Tiketi ya NRM nchini Uganda Ndugu Yoweri Museven Akiwasili mkutanoni. (Picha na Ofwono David) |
Ikiwa Duru la siasa nchini Uganda likizidi kupamba moto huku zikiwa zimekwisha katika takribani siku arobaini na moja tokea pale kipyenga cha kampeni za kunadi sera za wagombea kwa wananchi kilipopulizwa mnamo novemba 9.
Mchuano mkali umeonekana kati ya Mgombea nafasi wa Urais kupitia chama cha NRM anayetetea kiti chake Ndugu Yoweri Kaguta Museveni dhidi ya Mpinzani wake Mkubwa Kupitia chama cha FCD Party Ndugu Kiiza Besigye.
Hata hivyo leo Mgombea kiticho cha urais kwa tiketi ya NRM Ndugu Museveni Amefanya Mkutano wa Kampeni katika kaunti ya Busiki iliyopo wilayani Namutumbu.
Ndugu Yoweri Kagutu Museveni Akizungumza na wananchi wa Kaunti ya Busiki wilayani Namutumba. (Picha na Ofwono David) |
Maelfu ya wananchi wa Kaunti ya Busiki wakiwa katika Mkutanoni. (Picha na Ofwono David) |
Post a Comment