MSHUKIWA UGAIDI AKAMATWA UBELGIJI
Mtu mmoja amekamatwa katika msako kwenye mji mkuu wa Ubeligiji-Brussels na kuifanya idadi ya wanaoshikiliwa nchini humo kuhusiana na mashambulizi ya kigaidi mjini Paris kufikia watu 10. Mashambulizi hayo ya mwezi Novemba yaliwauwa watu 130...,
Mtu huyo aliyekamatwa mwenye umri wa miaka 22 ametajwa kwa jina la Ayoub B, na amefunguliwa mashtaka ya ugaidi pamoja na kushiriki katika maandalizi ya ugaidi. wawili kati ya waliohusika na mashambulizi ya mabomu ya kujitoa mhanga nchini Paris, Brahim Abdesalam na Bilal Hadfi wakiishi Ubeligiji.
Post a Comment