Australia ilikuwa moja ya nchi za kwanza kuingia mwaka 2016, fataki zinaonekana hapa juu ya jumba la Opera House na daraja la Harbour Bridge.
Mjini Sidney |
Nchini Misri, fataki zinaonekana zikilipuka karibu na Piramidi.
Cairo Misri |
Mjini Berlin |
London Uingereza |
Mjini Bagdad |
Mjini Kuala Lumpur, nchini Malaysia fataki zinaonekana zikilipuka karibu na jengo mashuhuri ya Petronas Towers.
Mjini Kuala Lampur |
Mjini Paris, watu walikusanyika Champs Elysees kutazama video ya Mwaka Mpya iliyoonyeshwa katika Arc de Triomphe.
Mjini Paris, Ufaransa. |
Fataki New Zeland |
Hapa, mwanamume anaonekana akitembea karibu na mapambo yaliyoandika 2016 katika mji wa Kiev, nchini Ukraine. GDP ya taifa hilo ilishuka asilimia 9 mwaka 2015.
Mjini Kiev |
Mjini Beijing watu wengi waikusanyika kwa hafla iliyokuwa Hekalu la Tai Miao karibu na Forbidden City mjini Beijing.
Mjini Beijing |
Post a Comment