Bondia wa zamani mbabe aliyeweka rekodi za nguvu kwenye mchezo wa ngumi, Mike Tyson ameamua tu kutuonesha kwamba kama huwezi kutembelea hoverboard, basi wewe achana nazo tuu hata usijaribu kucheza nazo.
Hii video aliipost Mike Tyson kwenye ukurasa wake Instagram ambapo kuna sauti ya mtoto wa kike inaonekana kama anamuonya hivi kwamba ataanguka, lakini Mike akaendelea zake.. sekunde chache mbele mambo yakaenda kombo !!
Ilikuwa stori yenye uzito wake kiasi cha kwamba TV ya CNN waliiripoti hii.
Here is the new Ommy Dimpoz video for the new smash hit called "Achia Body" which was directed by OB Films .The Video was shot on location in Johannesburg, South Africa, The song was Produced by Manwater (Combination Sound) and Mo Fire
He we have it, the visuals to the recently released sensational tune by Dammy Krane and HKN Boss Davido for their ‘Izzuesong’. Sweet tune, Clean video! Enjoy below. >>NICK J AUDIO DOWNLOAD
Kutoka kwenye album yake ya This Thing Called Life mwimbaji August Alsina ameoa video ya wimbo wake mpya “Song Cry” itazame hapa. posted by nick j von luvendowski
Jina lake ni Herry Samir lakini kwenye hit songs ni jina la Mr Blue ndio lipo, sasa time hii ametusogezea video ya single yake mpya inaitwa ‘Baki na mimi’ na video ni production yaKwetu Studios, ukishaitazama sio mbaya ukiacha comment yako akipita Blue mwenyewe aione posted by nick j von luvendowski
The Icon wa Muziki wa Afro Pop kutoka Afrika Mashariki na Kati mwenye Maskani yake Tandale jijini Dar es Salaam nchini Tanzania. Naseeb Abdul amedondosha Video Kali ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la "JE UTANIPENDA" Nakupatia fursa ya kuutazama hapa.