Jina lake ni Herry Samir lakini kwenye hit songs ni jina la Mr Blue ndio lipo, sasa time hii ametusogezea video ya single yake mpya inaitwa ‘Baki na mimi’ na video ni production ya Kwetu Studios, ukishaitazama sio mbaya ukiacha comment yako akipita Blue mwenyewe aione
posted by nick j von luvendowski
Post a Comment