![]() |
Bunge la Afrika Mashariki |
WABUNGE wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kauli moja wamezitaka nchi za Afrika Mashariki kuiga kile anachofanya Rais Magufuli ili kuweza kuleta ufanisi katika nchi zao.
Aidha taarifa kutoka katika kikao cha wabunge hao kimependekeza kauli mbiu ya Dr Magufuli ya ‘hapa kazi tu’itumike kama sera ya mataifa ya Afrika Mashariki ili kujiletea maendeleo
Toka aingie madarakani mapema mwezi uliopita Rais Magufuli ameweza kufanya mambo makubwa ambayo yamewavutia watu mbalimbali wa ndani na nnje ya nchi haswa katika kusimami mapato ya Serikali
Post a Comment