Halloween Costume ideas 2015

WANANCHI WA KENYA WAMKARIBISHA UHURU KENYATA KENYA





Wakati Rais Magufuli akiendelea kujadiliwa kila kona ya dunia kutokana na maamuzi ambayo amekuwa akiyafanya ndani ya siku 30 tangu amekuwa Rais, Kenya kuna stori ambayo iko tofauti kidogo kumhusu Rais Kenyatta na safari zake nje ya nchi.

KENYATTA BOY

Mitandaoni kuna picha inayoonesha bango linalomkaribisha Kenya Rais Kenyatta, limeandikwa hivi  KARIBU KENYA
Lakini hiyo ‘karibu’ yenyewe inawezekana isiwe na maana ya moja kwa moja kutokana na rekodi za safari za Rais huyo nje ya nchi ndani ya miaka mitatu ya Urais wake… rekodi zinaonesha Rais Kenyatta ameongoza kwa kusafiri nje ya nchi mara 43 ndani ya miaka mitatu kwenye Urais wakati Rais Mstaafu, Mwai Kibaki alisafiri mara 30 ndani ya miaka 10 ya Urais wake.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget