Halloween Costume ideas 2015

PICHA 20 ZA SIKU YA MSANII TANZANIA PAMOJA NA TUZO NNE ZA HESHIMA...


DSC_0312DSC_0309DSC_0309DSC_0261DSC_0357DSC_0259
Siku ya msanii ni siku maalum ambayo Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) lilibuni siku hiyo kwa mara ya kwanza mwaka 2008 katika kutekeleza sheria No:23 ya mwaka 1984 iliyounda Baraza hilo. Kwa mwaka 2015 maadhimisho ya siku hiyo yalichelewa kidogo kutokana na kupisha uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na Madiwani.
Labels:

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget