Halloween Costume ideas 2015

Entertainment Ni time nyingine kwa wanavyuo UDSM, CBE , IFM kwenye #TIGOuniversityVIP…(Picha)


Tigo imekua ikitoa nafasi za watu wa nguvu kwenye vyuo vya UDSM, IFM, CBE- DAR, Utumishi Mtwara na Mzumbe Morogoro kuenjoy weekend zao na marafiki baada ya kushinda kwenye droo ambayo inachezeshwa kutokana na Wanachuo wanaosogelea gulio la Tigo chuoni kwake na kufanya chochote kinachopatikana.
Sasa usiku wa Dec 12, 2015 washindi watatu kutoka kwenye vyuo totauti (UDSM, CBE,IFM) walipewa hadhi ya ki-VIP kutoka Tigo.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget