\
Magari ya Familia ya Davis Mosha nje ya kanisa la Kilutheri usharika wa Kiboriloni Mjini Moshi. |
Davis Mosha akiingia kanisani na watoto wake. |
Waumini wakiwa katika ibada |
Mr and Mrs Davis Mosha wakiwa na Mtoto wao Angel katika ibada |
Familia ya Davis Mosha wakiwa katika ibada ya shukrani |
Davis Mosha akitoka kanisani baada ya misa. |
Mtoto wa Davis Mosha Angel akitoka Ibadani |
Davis Mosha akitoka kanisani. |
Davis Mosha na familia yake wakiwa nje ya kanisa |
Familia ya Davis Mosha ikiwa nje ya kanisa |
Mtoto wa Davis Mosha Director Daniella alihusika katika picha. |
Davis Mosha akisalimiana na ndugu na jamaa zake |
Watoto wa Davis Mosha Edger, Angel na Director Daniella mwenye Camera katika Picha ya Pamoja. |
Davis Mosha katikati katika picha na Rafiki zake |
Madame Nance Mke wa Davis Mosha akitoa maelekezo ya ugawaji wa zawadi za siukuu. |
Mama akiwa na tabasamu baada ya kupokea zawadi ya sikukuu toka kwa familia ya Davis Mosha. |
Edger na Angel katika picha na Big Dad Davis Mosha |
Madame nance, Director Daniella katika picha ya Pamoja na Mama Mchungaji |
Post a Comment
Sir please call me @+919946113520